Sample Pages
APPENDIX U
12. Affirmative vs. negative. (cf. Learner's Synopsis, par. 53-61)
KEY EXAMPLE: | |
Watoto watasoma? [Will the children study?] |
La, hawatasoma. [No, they won't study. ] |
AFFIRMATIVE QUESTIONS: | |
Watoto wanasoma sasa? | La, hawasomi sasa. |
Watoto walisoma jana? | La, hawakusoma jana. |
Watoto watasoma kesho? | La, hawatasoma kesho. |
Wanataka watoto wasome? | La, wanataka watoto wasisome. |
Ingewezekana, watoto wangesoma? | La, hawangesoma. |
Watoto wamesoma? | La, hawajasoma. |
Watoto wakisoma, tutafanya nini? | Au, wasiposoma, tutafanya nini? |
SENTENCE FROM THE INVENTORY: | |
Rais atafanya ziara? [Will the president make an official trip?] |
La, hatafanya ziara. |
AFFIRMATIVE QUESTIONS: | |
Rais anafanya ziara sasa? | La, hafanyi ziara sasa. |
Rais alifanya ziara jana? | La, hakufanya ziara jana. |
Rais atafanya ziara kesho? | La, hatafanya ziara kesho. |
Anataka rais afanye ziara? | La, ana taka asifanye ziara. |
421