Jump to content

Wimbo wa Kimataifa

From Wikisource
Translation of the Internationale in Kiswahili (2020)
by Eugène Pottier, translated by Communist Party of Kenya
Eugène Pottier4689228Translation of the Internationale in Kiswahili2020Communist Party of Kenya

Zindukeni enyi wafanyikazi Nyanyukeni tokeni kifungoni Amkeni wafungwa kueni macho Mwisho wa enzi za dhulma. Ondokeni kwana ushirikina Halaiki zindukeni Tuwachane na nyendo za zamani Kukuteni vumbi tujikomboe

Enyi ndugu na enyi dada Tupambane hadi mwisho Wimbo wetu wa kimataifa Na utu-unganishe Wazalendo tushikaneni Tupambane hadi mwisho Wimbo wetu wa kimataifa Watuunganisha

Wadhalimu wasitigwanye Wasipande chuki kati yetu Hata jeshi letu litaasi Kutumikia wanyanyasaji Hawa walafi wakitujaribu Tawatao kafara sisi Tuko tayari kuwapiga risasi Majemadari wa ubepari

Ukombozi hautoki mbinguni Wala huruma za wadhalimu Ni mkono wetu wa kulia Utakao ng'oa visiki Na mizizi ya vita na chuki Na ulafi na wasiwasi Kila mtu ana jukumu lake Chuma hugongwa kingali moto

The English Version of the Internationale where the translation was picked.

Arise ye workers from your slumbers Arise ye prisoners of want For reason in revolt now thunders And at last ends the age of cant. Away with all your superstitions Servile masses arise, arise We’ll change henceforth the old tradition And spurn the dust to win the prize.

Refrain: So comrades, come rally And the last fight let us face The Internationale unites the human race.

No more deluded by reaction On tyrants only we’ll make war The soldiers too will take strike action They’ll break ranks and fight no more And if those cannibals keep trying To sacrifice us to their pride They soon shall hear the bullets flying We’ll shoot the generals on our own side.

No saviour from on high delivers No faith have we in prince or peer Our own right hand the chains must shiver Chains of hatred, greed and fear E’er the thieves will out with their booty And give to all a happier lot. Each at the forge must do their duty And we’ll strike while the iron is hot.