CHAPTER 8
MANIPULATIONS BASED ON NEWS ITEMS (SWAHILI)
Wanataka nini? | Wanataka Dr. Banda awe Rais wa Malawi. |
ingewezekana | Ingewezekana, Dr. Banda angekuwa Rais wa Malawi. |
Watafanya nini? | Dr. Banda akiwa Rais wa Malawi, watafanya nini? |
9. 'Have' (cf. Learner's Synopsis, par.63 )
KEY EXAMPLE: | |
Watoto wana vitabu. [The children have books.] |
Watoto wana vitabu. |
TENSE MODIFIERS: | |
sasa | Watoto wana vitabu. |
zamani [long ago] | Watoto walikuwa na vitabu zamani. |
siku zijazo [in the future] | Watoto watakuwa na vitabu siku zijazo. |
Anataka nini? | Anataka wawe na vitabu. |
Atafanya nini? | Atafanya nini, watoto wakiwa na vitabu? |
ingewezekana | Ingewezekana, watoto wangekuwa na vitabu. |
SENTENCE FROM INVENTORY: | |
Malawi ina rais. [Malawi has a president.] |
Malawi ina rais. |
416