Sample Pages
APPENDIX U
TENSE MODIFIERS: | |
sasa | Malawi ina rais sasa. |
zamani | Malawi ilikuwa na rais zamani. |
siku zijazo | Malawi itakuwa na rais siku zijazo. |
Anataka nini? | Anataka Malawi iwe na raise |
Atafanya nini? | Atafanya nini, Malawi ikiwa na rais? |
ingewezekana | Ingewezekana, Malawi ingekuwa na raise |
10. 'Have not'
KEY EXAMPLE: | |
Watoto wana vitabu? [no the children have books?] |
La, hawana. [No, they haven't.] |
TENSE MODIFIERS: | |
Watoto wana vitabu sasa? | La, hawana vitabu sasa. |
watoto wa1ikuwa na vitabu zamani? | La, hawakuwa na vitabu zamani. |
watoto watakuwa na vitabu siku zijazo? | La, hawatakuwa na vitabu siku zijazo. |
Anataka watoto wawe na vitabu? | La, anataka wasiwe na vitabu. |
Watoto wangekuwa na vitabu? | La, wasingekuwa na vitabu. |
Atafanya nini, watoto wakiwa na vitabu? | Ata£anya nini, wasipokuwa na vitabu? |
417